Collector
Maswa waomba kupatiwa elimu ya lishe, kupunguza udumavu | Collector
Maswa waomba kupatiwa elimu ya lishe, kupunguza udumavu
Mwananchi

Maswa waomba kupatiwa elimu ya lishe, kupunguza udumavu

Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuongeza juhudi za utoaji wa elimu ya lishe katika ngazi ya jamii, ili kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ambalo bado linaendelea kuathiri familia nyingi.

Go to News Site