Wabunge wametoa ya moyoni kuhusu suala la mafuta wakitaja mambo saba ambayo yanaweza kupunguza makali hayo ili kutoa nafuu ya maisha kwa wananchi.