Samia ataja sababu Profesa Kabudi kumrithi Lukuvi | Collector
Mwananchi
Samia ataja sababu Profesa Kabudi kumrithi Lukuvi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uamuzi wake wa kumteua Profesa Palamagamba Kabudi, kumrithi hayati William Lukuvi, umetokana na umri, uzoefu na maarifa ya mwanasiasa huyo.