Kuendelea kuwepo kwa mashimo katika barabara mbalimbali za mitaa ya Jiji la Dar es Salaam kumechangia kujaa kwa maji hata pale mvua zinaponyesha kidogo.