Collector
Orodha ya wateule walipendekezwa kuwania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere yatangazwa | Collector
Orodha ya wateule walipendekezwa kuwania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere yatangazwa
bongo5.com

Orodha ya wateule walipendekezwa kuwania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere yatangazwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza orodha teule ya waliopendekezwa kuwania tuzo hiyo katika hafla itakayofanyika tarehe 13/4/2026 katika ukumbi wa Superdom Masaki jijini Dar salaam. Washindi hao wa kila nyanja wamepatikana kutoka kwenye miswada 260 iliyofanyiwa kazi na majaji wa tuzo hiyo ikihusisha …

Go to News Site