Mwananchi
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura) imetangaza bei mpya za mafuta, ambapo lita moja ya petroli na dizeli imeongezeka kwa wastani wa Sh500. Wakati bei hizo zikipanda, mafuta ya ndege yameshuka kwa asilimia 0.21 kutoka Sh2,368 hadi kufikia Sh2,363.
Go to News Site