HabariLeo
MCHEZAJI wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Klabu ya Simba, Abdallah Kibadeni ‘Mputa’, amewataka vijana kote nchini kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali badala ya kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuhatarisha amani ya nchi. The post KIbadeni awahimiza vijana kulinda amani first appeared on HabariLeo .
Go to News Site