Mwananchi
Hadi mwishoni mwa mwaka huu, Tanzania inaweza kuwa na kiwanda cha uunganishaji wa magari makubwa yanayotumia gesi, boti za uvuvi na vipuri vya magari, kufuatia uwekezaji mpya unaotarajiwa kufanyika katika eneo la Bagamoyo mkoani Pwani.
Go to News Site