Collector
Mwanafunzi afariki dunia kwa kupigwa na radi Tabora | Collector
Mwanafunzi afariki dunia kwa kupigwa na radi Tabora
Mwananchi

Mwanafunzi afariki dunia kwa kupigwa na radi Tabora

Mtoto mmoja, Aishara Shingu (11), aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Ussoke iliyopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, amefariki dunia na watu wengine watano wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi.

Go to News Site