Mwananchi
Suala la uwajibikaji wa watumishi wa umma katika kushughulikia kero za wananchi na kusimamia utekelezaji wa maagizo ya viongozi wa kitaifa, leo limeelekezwa pia kwa mawaziri na naibu mawaziri, wakitakiwa kutoa majibu yenye utekelezaji wanapojibu hoja za wabunge bungeni.
Go to News Site