Collector
Chadema yaanzisha kampeni kushinikiza kuachiwa Lissu | Collector
Chadema yaanzisha kampeni kushinikiza kuachiwa Lissu
Mwananchi

Chadema yaanzisha kampeni kushinikiza kuachiwa Lissu

Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maedeleo (Chadema), Tundu Lissu, akitimiza mwaka mmoja akiwa mahabusu, chama chake kimetangaza kuanzisha kampeni maalumu kupitia mitandao ya kijamii pamoja na kubandika matangazo katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi, kikishinikiza aachiwe huru.

Go to News Site