HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetangaza kuanza rasmi kwa ujenzi wa kongani ya kisasa ya viwanda zaidi ya 150 Bagamoyo Eco Maritime City (BEMC), Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Akizungumza leo Aprili 9 jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa TISEZA, Gilead Teri, alisema mradi huo … The post Ujenzi kongani ya viwanda 150 kuanza Bagamoyo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site