Collector
Barabara ya Kakonko- Muhanga kujengwa kwa kiwango cha lami | Collector
Barabara ya Kakonko- Muhanga kujengwa kwa kiwango cha lami
bongo5.com

Barabara ya Kakonko- Muhanga kujengwa kwa kiwango cha lami

Serikali imesema itaijenga barabara ya Kakonko – Muhanga kupitia Gwarama (km 41.43) kwa kiwango cha lami ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi na wafanyabiashara. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya  Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Kakonko Alan Thomas Mvano, aliyeuliza ni lini barabara …

Go to News Site