Collector
Katibu mkuu Uwekezaji awauma sikio wafanyakazi Tiseza | Collector
Katibu mkuu Uwekezaji awauma sikio wafanyakazi Tiseza
Mwananchi

Katibu mkuu Uwekezaji awauma sikio wafanyakazi Tiseza

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Uwekezaji, Dk Fred Msemwa amewataka watumishi wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (Tiseza), kuondoa hulka ya kufanya kazi kwa mazoea kutokana na jukumu kubwa walilonalo katika kuchangia pato la Taifa kupitia uwekezaji.

Go to News Site