HabariLeo
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande, amewataka Watanzania kutumia muda wa nyongeza kutoa ushahidi zaidi, kwa kuwa anatambua matumaini yao makubwa na jumuiya ya kimataifa kwa tume hiyo. Akizungumza Dar es Salaam, Jaji Chande pia alitaja sababu nne za tume kuomba muda wa nyongeza, … The post Jaji Chande awahimiza watanzania kutoa ushahidi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site