Collector
Uchumi Afrika watajwa kushuka | Collector
Uchumi Afrika watajwa  kushuka
HabariLeo

Uchumi Afrika watajwa kushuka

BENKI ya Dunia imeeleza kuwa ukuaji wa uchumi katika mataifa ya Afrika yaliyopo Kusini mwa Jangwa la Sahara unatarajiwa kupungua kutoka asilimia 4.4 hadi 4.1 mwaka 2026, kutokana na athari za vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati. The post Uchumi Afrika watajwa kushuka first appeared on HabariLeo .

Go to News Site