Mwananchi
Jamhuri imefanya mabadiliko katika hati ya mashtaka kwenye kesi ya kughushi vibali/leseni za kumiliki silaha, kwa kuongeza mashtaka 16 mapya, yakiwemo ya kukutwa na mihuri ya kughushi ya Jeshi la Polisi Tanzania.
Go to News Site