Sasa utaweza ‘ku-edit comment’ yako Instagram | Collector
Mwananchi
Sasa utaweza ‘ku-edit comment’ yako Instagram
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni majibu ya hitaji la muda mrefu la watumiaji wa mtandao huo ambao awali walilazimika kufuta maoni yaliyokuwa na makosa na kuandika upya.