Swahili Times
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika miundombinu ya mawasiliano, hususan Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, ili kuimarisha uchumi wa kidigitali na kuongeza ushiriki wa wananchi katika maendeleo ya taifa. Akizungumza leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa minara 758 ya mawasiliano, Rais Samia amesema Mkongo wa Taifa umefikia urefu wa kilomita 15,167 na tayari umeunganisha mikoa yote ya Tanzania Bara pamoja na wilaya 121 kati ya 139. Ameeleza kuwa mafanikio hayo ni makubwa ikilinganishwa na mwaka 2021 ambapo wilaya zilizounganishwa zilikuwa 36 pekee, huku mkongo huo ukiunganisha […] The post Tanzania yajiimarisha kama kitovu cha mawasiliano Afrika Mashariki appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site