Collector
Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda | Collector
Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda
Mwananchi

Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda

Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza imesema haina mamlaka ya kutoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya kijana mmoja, hivyo inatakiwa iende Mahakama ya Kuu ya Tanzania.

Go to News Site