bongo5.com
Hatua muhimu imepigwa katika sekta ya udalali nchini baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Bodi ya Madalali Tanzania, ikiwa na lengo la kuimarisha taaluma hiyo, kuiweka kwenye misingi ya kitaalamu na kubadili mtazamo hasi uliopo miongoni mwa jamii. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mweka Hazina wa bodi hiyo, Juneid Othman, alisema kuwa dhamira kuu ni kuifanya …
Go to News Site