Mwananchi
Taasisi ya Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania (Fuwavita), imesema elimu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wenye ulemavu ni muhimu kwani yanapotokea majanga huathiri kundi hilo moja kwa moja bila kupata msaada.
Go to News Site