HabariLeo
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan amezindua minara 758 ya mawasiliano nchini, ikiwa ni hatua kubwa ya kuharakisha mageuzi ya uchumi wa kidijitali. Uzinduzi huo uliofanyika jijini Dodoma umeongeza au kuboresha huduma za mawasiliano kwa takriban wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400. Katika hafla hiyo, serikali ilitoa tuzo kwa kampuni za mawasiliano zilizochangia upanuzi wa … The post Dk Samia azindua minara 758, Airtel juu first appeared on HabariLeo .
Go to News Site