Collector
Sido kuwakutanisha pamoja wajasiriamali | Collector
Sido kuwakutanisha pamoja wajasiriamali
Mwananchi

Sido kuwakutanisha pamoja wajasiriamali

Zaidi ya Wajasiriamali 600 kutoka Tanzania bara na visiwani wanatarajia kushiriki maonesho ya kitaifa ya Shirika la maendeleo la Viwanda vidogo (Sido) ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kuonyesha bidhaa zinazozalishwa nchini kwa kutumia teknolojia na kuinuwa viwanda vidogo.

Go to News Site