bongo5.com
Kiongozi wa kimila nchini Tanzania, Dkt. Fadhili, ametoa wito kwa vyombo vya habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza taarifa zisizo na uthibitisho ambazo zinaweza kuleta taharuki kwa jamii. Akizungumza kuhusu tukio lililosambaa hivi karibuni la madai ya watu kuibiwa sehemu zao za siri (nyeti), Dkt. Fadhili amesema taarifa hizo si za kweli …
Go to News Site