Collector
Vijana wahitajika maonesho ya ubunifu | Collector
Vijana wahitajika maonesho ya ubunifu
HabariLeo

Vijana wahitajika maonesho ya ubunifu

SHINYANGA: WAJASIRIAMALI 600 nchini wanatarajiwa kuonesha bidhaa zao mpya za ubunifu,kubadilishana ubora na kuuza huku vijana wanaochipukia wakiombwa kuhudhuria kujifunza zaidi kwa kile walichonacho ili kujiajiri na kunyanyua vipato vyao. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda (SIDO), Mhandisi poresa Slyvester Mpanduji kwenye hafla fupi ya kutambulisha maonesho ya tano kitaifa … The post Vijana wahitajika maonesho ya ubunifu first appeared on HabariLeo .

Go to News Site