Collector
Wanaanga Artemis II watua salama kutoka mwezini | Collector
Wanaanga Artemis II watua salama kutoka mwezini
HabariLeo

Wanaanga Artemis II watua salama kutoka mwezini

MAREKANI — Wanaanga wanne wa ujumbe wa Artemis II wametua salama katika Bahari ya Pasifiki baada ya kukamilisha safari ya siku tisa kuuzunguka mwezi, ikiwa ni safari iliyowapeleka mbali zaidi na Dunia kuliko binadamu wowote katika historia ya hivi karibuni. Kwa mujibu wa NASA, chombo cha Orion kilikumbana na joto kali kilipoingia katika angahewa ya … The post Wanaanga Artemis II watua salama kutoka mwezini first appeared on HabariLeo .

Go to News Site