HabariLeo
DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewapatanisha waimbaji wa muziki wa Injili Upendo Nkone na Martha Mwaipaja kufuatia mvutano wao uliokuwa ukiendelea na kujitokeza zaidi katika mitandao ya kijamii. Mkutano huo ulifanyika Aprili 10, 2026 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, ambapo Chalamila alisema aliamua kuingilia kati baada … The post Chalamila awapatanisha waimbaji wa Injili first appeared on HabariLeo .
Go to News Site