Collector
Kikwete aanza vyema juhudi za amani Sudan Kusini | Collector
Kikwete aanza vyema juhudi za amani Sudan Kusini
HabariLeo

Kikwete aanza vyema juhudi za amani Sudan Kusini

JUBA — Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameanza kuhuisha mchakato wa amani nchini Sudan Kusini baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili jijini Juba. Akiwa Mwakilishi Maalum wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu, Kikwete alikutana na Rais Salva Kiir pamoja na viongozi wengine wa … The post Kikwete aanza vyema juhudi za amani Sudan Kusini first appeared on HabariLeo .

Go to News Site