HabariLeo
DAR ES SALAAM — Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Hayati Julius Nyerere aliandika kitabu cha kutetea haki za wanawake akiwa Chuo Kikuu cha Makerere University, lakini hakikuchapishwa hadi alipofariki. Wasira alitoa kauli hiyo Aprili 10, 2026 katika kongamano la kumbukizi ya Mwalimu Nyerere lililofanyika Chuo cha Kumbukumbu ya … The post Wasira: Nyerere aliandika kitabu kutetea wanawake first appeared on HabariLeo .
Go to News Site