Collector
Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027 | Collector
Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027
HabariLeo

Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027

DAR ES SALAAM — Wadau kutoka taasisi mbalimbali za serikali na sekta binafsi wamekutana kujadili Mkakati wa Kitaifa wa maandalizi ya Mashindano ya AFCON 2027, katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Johari Rotana na umewakutanisha wadau muhimu kwa lengo la kuweka mwelekeo wa pamoja wa maandalizi ya Tanzania … The post Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site