Collector
Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda | Collector
Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda
HabariLeo

Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda

DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wafanyabiashara wa soko la Simu 2000 Market wamepangiwa maeneo ya muda wakati ujenzi wa maduka zaidi ya 900 ukiendelea. Akizungumza na waandishi wa habari, Chalamila alisema zoezi la usafi katika soko hilo tayari limekamilika kufuatia maelekezo ya Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, … The post Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda first appeared on HabariLeo .

Go to News Site