HabariLeo
DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mkoa huo ni kitovu kikuu cha upokeaji wa mafuta nchini Tanzania, ukiwa na matanki 22, kati ya 26 yakijumuisha yaliopo Tanga na Mtwara. Amesema matanki hayo yana uwezo wa kuhifadhi jumla ya lita 1,346,000, hatua inayosaidia kuhakikisha upatikanaji wa mafuta nchini. … The post Dar kitovu cha mafuta, bei hutegemea soko la dunia first appeared on HabariLeo .
Go to News Site