Collector
Rasmi Afcon 2027 kuanza Juni 19 | Collector
Rasmi Afcon 2027 kuanza Juni 19
HabariLeo

Rasmi Afcon 2027 kuanza Juni 19

MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afri ka (AFCON 2027) inatarajiwa kuanza Juni 19 na kumalizika Julai 18, mwakani. Shirikisho la Soka Africa (CAF) limethibitisha hivi karibuni, ambapo michuano hiyo itaandaliwa kwa ushikiano wa nchi tatu za Afrika Mashariki; Tanzania, Kenya na Uganda. Hiyo ni mara ya kwanza kwa Afcon kuandaliwa kwa pamoja na mataifa … The post Rasmi Afcon 2027 kuanza Juni 19 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site