Collector
Tanzania yaingiza vipengele 41 Tuzo za Utalii Duniani | Collector
Tanzania yaingiza  vipengele  41 Tuzo za Utalii Duniani
bongo5.com

Tanzania yaingiza vipengele 41 Tuzo za Utalii Duniani

Tanzania imeendelea kung’ara katika anga la kimataifa baada ya kuingiza vipengele 41 katika Tuzo za Utalii na Usafirishaji Duniani  World Travel Awards, hatua inayoimarisha nafasi yake kama moja ya vinara wa utalii barani Afrika. Akizungumza, Aprili 11,2026 jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB, Paulina Mkama, amesema …

Go to News Site