Collector
Tanzania mambo safi tuzo za utalii duniani | Collector
Tanzania mambo safi tuzo za utalii duniani
HabariLeo

Tanzania mambo safi tuzo za utalii duniani

DAR ES SALAAM: TANZANIA imeendelea kung’ara katika anga la kimataifa baada ya kuingiza vipengele 41 katika Tuzo za Utalii na Usafirishaji Duniani (World Travel Awards), hatua inayoimarisha nafasi yake kama moja ya vinara wa utalii barani Afrika. Akizungumza, leo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Paulina … The post Tanzania mambo safi tuzo za utalii duniani first appeared on HabariLeo .

Go to News Site