Visumbufu mimea, ndege kwereakwerea kudhibitiwa | Collector
Mwananchi
Visumbufu mimea, ndege kwereakwerea kudhibitiwa
Kwa nyakati tofauti wakulima mkoani Mbeya na Songwe wamekuwa wakilia na wadudu aina ya funza weupe na konokono kushambulia mazao na kuharibu mashamba, hali inayoathiri uzalishaji na uchumi.