Collector
RPC Mutafungwa atangaza vita kwa watumia mihadarati Ukerewe | Collector
RPC Mutafungwa atangaza vita kwa watumia mihadarati Ukerewe
Mwananchi

RPC Mutafungwa atangaza vita kwa watumia mihadarati Ukerewe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa ametangaza operesheni maalumu na isiyo na ukomo dhidi ya wahalifu wanaojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na matukio ya uvunjifu wa amani katika Wilaya ya Ukerewe.

Go to News Site