Jamii za kifugaji zimetakiwa kuboresha usimamizi wa malisho ili kufufua afya ya nyanda za malisho na kupunguza kiwango cha hewa ukaa angani.