LA TAIFA LEO
Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru kaunti za Kisii na Nyamira kuanzia leo katika ziara ya siku nne inayotazamwa kama kipimo muhimu cha ushawishi wake wa kisiasa katika eneo la Gusii, ambalo linaonekana kuelekea kwa mpinzani wake mpya Fred Matiang’i uchaguzi wa 2027 unapokaribia. Ingawa Ikulu imetaja ziara hiyo kama inayolenga maendeleo—ikijumuisha uzinduzi na ukaguzi wa […]
Go to News Site