bongo5.com
JESHI la Polisi Mkoa wa Rukwa linaendelea na mapambano dhidi ya wahalifu mbalimbali wakiwemo wale wanaosababisha taharuki katika jamii kwa kuzusha kuibiwa sehemu nyeti za miili yao na wale wanaowafanyia ukatili na udhalilishaji watoto. Katika kuhakikisha jamii ya watu wa Mkoa wa Rukwa wanaishi bila hofu, limewafikisha mahakamani tena vijana watatu waliomzushia bwana Hosea Ngogo …
Go to News Site