Collector
Tanesco yatakiwa kueleza faida matumizi majiko ya kisasa ya umeme | Collector
Tanesco yatakiwa kueleza faida matumizi majiko ya kisasa ya umeme
Mwananchi

Tanesco yatakiwa kueleza faida matumizi majiko ya kisasa ya umeme

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adamu Malima, amelielekeza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupitia kitengo chake cha masoko kutoa elimu kwa wananchi kuhusu faida za matumizi ya majiko ya kisasa ya umeme, pamoja na kuondoa hofu iliyojengeka kuhusu usalama wake.

Go to News Site