Collector
Wanafunzi wasomea chini ya miti, Mkinga | Collector
Wanafunzi wasomea chini ya miti, Mkinga
Mwananchi

Wanafunzi wasomea chini ya miti, Mkinga

Baadhi ya wanafunzi katika Shule ya Msingi Churwa iliyopo Kata ya Muhinduro, Tarafa ya Maramba wilayani Mkinga mkoani Tanga, wanalazimika kujifunzia chini ya miti kutokana na uhaba mkubwa wa madarasa hali inayowaathiri kitaaluma na kupunguza ufanisi wa ujifunzaji wao.

Go to News Site