Collector
Kicheko, Sungusungu sita waliohukumiwa kunyongwa wakiachiwa huru | Collector
Kicheko, Sungusungu sita waliohukumiwa kunyongwa wakiachiwa huru
Mwananchi

Kicheko, Sungusungu sita waliohukumiwa kunyongwa wakiachiwa huru

Walinzi sita wa jadi, “Sungusungu”, waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo mwaka 2024, wameachiliwa huru na Mahakama ya Rufani kwa kuwa mashtaka dhidi yao hayakuwa yamethibitishwa kwa viwango vinavyokubalika kisheria.

Go to News Site