Athari za watoto kuingia kwenye ajira hatarishi | Collector
Mwananchi
Athari za watoto kuingia kwenye ajira hatarishi
Licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kulinda haki za watoto, bado baadhi yao katika jamii wanaendelea kuingia kwenye ajira hatarishi.