Collector
Sungusungu sita waliohukumiwa kunyongwa waachiwa huru | Collector
Sungusungu sita waliohukumiwa kunyongwa waachiwa huru
Mwananchi

Sungusungu sita waliohukumiwa kunyongwa waachiwa huru

Walinzi sita wa jadi, “Sungusungu”, waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo mwaka 2024, wameachiliwa huru na Mahakama ya Rufani kwa kuwa mashtaka dhidi yao hayakuwa yamethibitishwa kwa viwango vinavyokubalika kisheria.

Go to News Site