Mwananchi
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Fransisko, Padri Arnold Baijukua, amewataka Watanzania kumuenzi aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, kwa kusimamia na kutekeleza usawa wa kiuchumi na kuhakikisha rasilimali za Taifa zinawanufaisha wananchi wote badala ya wachache.
Go to News Site