HabariLeo
DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli Mtanzania, Miriam Odemba ameiomba Serikali kujizatiti kuunga mkono tasnia ya mitindo kwani inabeba sekta nyingi ikiwemo utalii. Miriam Odemba ametoa ombi hilo katika tukio maalumu la mitindo ‘Muda Tanzanite Gala’ lililowakutanisha wanamitindo mbalimbali Dar es Salaam jana. Akizungumza katika tukio hilo, Miriam ambaye alikuwa mgeni rasmi, alisema wanamitindo wengi wanapata … The post Miriam Odemba: Serikali iweke nguvu sekta ya mitindo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site