Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limetao taarifa ya ajali ya gari iliyoua watu wawili ambao ni dereva na abiria iliyotokea katika Kijiji cha Igaka, barabara ya Sengerema–Geita.