Mwananchi
Viongozi wa Serikali, wataalamu wa afya na madereva wa pikipiki maarufu bodaboda, leo Aprili 12, 2026, wameungana katika matembezi ya mshikamano yaliyolenga kutoa elimu na kuhamasisha matumizi sahihi ya kofia ngumu (helmet) ili kupunguza madhara ya ajali barabarani.
Go to News Site